FAHAMU KUHUSU KURUDI KWA YESU
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 13, 2024
Product Views:
811
Sample
YESU ANARUDI TENA, JIANDAE KWA AJILI YA UNYAKUO.
WAKATI WA MAISHA YA HUDUMA YA YESU HAPA DUNIANI, ALIONGEA HABARI ZA KUONDOKA NA KURUDI TENA ( YOHANA 14:1-4; MATHAYO 24:4-31). KITABU HIKI KINAKUPA MTIRIRIKO WA MATUKIO KUHUSU UNYAKUO, DHIKI KUU, UTAWALA WA YESU WA MIAKA 1000, HUKUMU YA MWISHO NA MAISHA YA MILELE.