ENDELEZA KIPAJI CHAKO
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 15, 2021
Product Views:
3,101
Sample
KILA MTU ANACHO KIPAJI FULANI. NA VIPAJI VINGI VIMEBAKIA BUTU. KUGUNDUA KIPAJI PEKEE YAKE HAITOASHI BAADA YA KUGUNDUA KIPAJI CHAKO HATUA INAYOFUATA NI KUKIENDELEZA, AU KUKINOA NA KUKICHOCHEA ILI KIWEZE KUKUPA MATOKEA MAZURI.
KITABU HIKI KITAKUFUNDISHA VILE UNAVYOWEZA KUKIENDELEZA KIPAJI CHAKO NA KUKIGEUZA KUWA HUDUMA NA BIDHAA NA KULETA UTOFAUTI KATIKA MAISHA YAKO.