DOA LA NDOA
Ndoa ni japo pana zaidi, wakati baadhi ya watu wakiingia katika ndoa ili wapate furaha lakini upande wa pili wa ndoa umekuwa tofauti.rnrnNdoa ni utumwa endapo ukikosea kuoa au kuolewa. ndoa ni majuto na simanzi, ndoa ipo kwa ajili ya watoto na sio vinginevyo.rnrnKutana na Fety ambaye anaelezea kuhusu mkasa wa ndoa yake, ndoa ambayo ilikuwa tamu lakini doa moja likaja kuchafua rangi kamili ya ndoa.
Ndoa ni mfumo mpya ambao unatengenezwa na wapenzi waliodumu kwa muda mrefu ama watu walikouwa tayari kuyaanza maisha mapya huku wakiacha mambo yao ya zamani.
Katika mfumo huu kila mmoja atakuwa tayari kuyaanza maisha mapya huku wakitengeneza njia moja ambayo kila mmoja atapita, endapo mmoja wapo akitoka pembeni, hapo ndipo DOA LA NDOA litapatikana.
Hakuna ndoa bila wivu, wivu bila mapenzi ya kweli, hakuna mapenzi ya kweli bila kujaliana, kuthaminiana na kuvumiliana. karibu katika doa la ndoa.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza