Daraja La Mauti
Price:
5,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 28, 2022
Product Views:
1,693
Sample
Riwaya ya DARAJA LA MAUTI no riwaya iliyojaa mafunzo si haba kwenye jamii. Mafunzo yaliyojikita kwenye ucheshi, sitiari , taswira na kwenye mbinu nyengine za lugha. Riwaya hii imejikita kwenye nchi ya Segelea inayopatikana barani Afrika, ikionyesha udhalimu aina wa ainati unaofanywa barani Afrika na dunia nzima kwa ujumla.\\\\r\\\\n Japai, ambaye ni mhusika mkuu anapata utajiri kwa Hali ya kitatanisha huku aila yake ikiangamia mmoja mmoja.\\\\r\\\\n\\\\r\\\\nMwandishi Mwarabu Omari\\\\r\\\\nNchi: Kenya\\\\r\\\\nNambari ya simu: +254793743469
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana na mwandishi Mwarabu Omari kwa nambari +254793743469
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza