Civil Engineering Manual
Hiki ni kitabu ambacho kimeandikwa kwa lugha ya kiingereza kwa mtindo wa majedwali ili kikusaidie katika kupata idadi ya vifaa vya ujenzi.rnrnIwe saruji, iwe tofali, iwe kokoto, iwe mchanga au nondo, ukishakuwa na eneo au ujazo au uzito basi ni rahisi kuingia kwenye jedwali husika na kupata idadi inayotakiwa.
Hiki ni kitabu ambacho kimeandikwa kwa lugha ya kiingereza kwa mtindo wa majedwali ili kikusaidie katika kupata idadi ya vifaa vya ujenzi.
Iwe saruji, iwe tofali, iwe kokoto, iwe mchanga au nondo, ukishakuwa na eneo au ujazo au uzito basi ni rahisi kuingia kwenye jedwali husika na kupata idadi inayotakiwa.
Nondo,
Zege,
Saruji,
Kokoto,
Mchanga,
Kitabu kinawafaa mafundi wanaojua lugha ya kiingereza, Technicians, Engineers, Quantity Surveyors na Procurement Officer.
Kinatumika wakati wa kutafuta idadi, wakati wa kununua, wakati wa kusimamia kazi.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza