CHURA WA KIJESHI
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 07, 2024
Product Views:
821
Sample
HARAKATI A CHURA WA KIJESHI
Hii ni hadithi nzuri yenye kusisimua inayomuelezea Chura mwenye uelewa na umahiri mkubwa wa mambo. Chura anaonekana akitoa hekima zake kwa watu kupitia hadithi lna watu wanafurahia, lakini nyuma ya mambo Chura ana agenda! na agenda hii inamtokea puani. Jipatie nakala yako ufaidi uhondo wote.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza