CHOZI LA MWANDISHI
Hiki ni kitabu kilicho jawa na kila aina ya uhamasishaji kwa namna ya pekee ni hadithi yenye uhalisia wa maisha ya kweli. Ikiangazia maisha ya binti Flaviana aliyekuwa mwandishi anaye chipukia akiishi katika Taifa la Kenya kama mkimbizi Flaviana anakumbana na vikwazo vingi venye kumkatisha tamaa anakabiliana na vikwazo na badae anafanikiwa kuwa mwandishi mkubwa Afrika.
Mambo mengi yaliyomo katika hadithi hii nimaisha ambayo mwandishi wa hadithi hii amepitia ukweli nikuwa hakuna maisha rahisi kwenye kile unachokipigania nilazima utakutana na changamoto nyingi. Unapo soma kitabu hiki unasoma maisha ya mwandishi wa kitabu hiki kwa asilimia 80 ya maudhui yalimo katika kitabu kuna mengi ya kujifunza fuatilia kitabu hiki.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza