Chozi La Mama
Chozi La Mama
katika hi dunia binaadamu hupitia mitihani mingi sana, _katika mitihani hiyo ni jambo la kupita tu. Hayo ndio majaribu ya maisha, hapo unaangaliwa utapasi au utafeli. Muhimu ni kuwa jasiri na kuchukulia majaribu hayo kama ni sehemu ya masomo yako katika hi dunia. Kuwa mvumilivu, jasiri na uzidi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema nyingi alizokupa. Mitihani ni sehemu tu ya maisha yetu, kinachotakiwa ni kuzidi kumuomba Mwenyezi Mungu atupe Subira. Kumbuka neema alizokupa Mwenyezi Mungu ya maisha, kisha ya akili pamoja na macho yako yenye uwezo wa kuna. Neema hazihesabiki alizotupatia Mwenyezi Mungu, hata ukijaribu vipi maana ni nyingi mno. Choi la mama hili ni shairi linayoelezea kisa cha mama na matatizo yanayomkuta kutoka kwa Watoto wake aliowazaa na kuwalea wakiwa mayatima. Endelea nak isa hichi na mashairi mengine mengi yanayohusu Maisha, mapenzi na kadhalika. Endelea.....!
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza