CHOZI LA MAADILI YA DUNIA KARNE YA 21
Price:
4,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 04, 2024
Product Views:
123
Sample
CHOZI LA MAADILI YA DUNIA KARNE 21
Ni kitabu kinachotoa mwanga kwa kutoa muelekeo sahihi wa namna gani kama jamii tunaumizwa na maporomoko makubwa ya maadili yanayoendelea kutokea siku za hivi karibuni , na hivyo kuathiri kizazi Cha Sasa na Cha baadae. Pia katika kitabu hiki mwandishi anatumia taswira ya " CHOZI" kuashiria kuwa ni hali iliyofikia kiwango Cha kutovumilika kutokana na namna inavyoumiza. Mwisho kitabu hiki kimegusa kila nyanja za maisha ya mwanadamu kwa namna gani anapaswa kuwa na maadili katika elimu, biashara ,dini, uongozi na katika matumizi ya utandawazi.