CHOCHEA KIPAJI CHAKO
Kitabu hiki ni nyenzo muhimu kwa mtu mwenye kipaji. Zipo kanuni na mbinu muhimu za kumsaidia kila mwenye kipaji kufanya vizuri sokoni. Pesa hufuata harufu ya ubora. Ukifanya kwa ubora kwenye kipaji chako lazima watu wanaofaidi kipaji chako wakulipe vizuri. Tatizo ni kwamba ubora hauji kimiujiza, bali ni matokeo ya kutumia kanuni sahihi na mbinu zilizo bora. Basi, kitabu hiki ni lazima kwako kukisoma ili ufaidike na maarifa yaliyo ndani yake.
Kitabu hiki\r\nni nyenzo muhimu kwa mtu mwenye kipaji. Zipo kanuni na mbinu muhimu za\r\nkumsaidia kila mwenye kipaji kufanya vizuri sokoni. Pesa hufuata harufu ya\r\nubora. Ukifanya kwa ubora kwenye kipaji chako lazima watu wanaofaidi kipaji\r\nchako wakulipe vizuri. Tatizo ni kwamba ubora hauji kimiujiza, bali ni matokeo\r\nya kutumia kanuni sahihi na mbinu zilizo bora. Basi, kitabu hiki ni lazima\r\nkwako kukisoma ili ufaidike na maarifa yaliyo ndani yake.
Mara nyingi\r\nwanaobaki kwenye ushindani na kuendelea kufanya vizuri ni wale wanaopata mbinu\r\nmpya katika maeneo ya vipaji vyao. Ndani ya kitabu hiki zimeelezwa njia za 4\r\nkugundua kipaji chako na haijaishia hapo, Pia kuna mbinu za kuchochea kipaji\r\nchako baada ya kukigundua. Mbinu 5 muhimu zilizoelezwa ni;
<!--[if !supportLists]-->· \r\n<!--[endif]-->Badili chanzo chako cha taarifa
<!--[if !supportLists]-->· \r\n<!--[endif]-->Badili watu unaombatana nao
<!--[if !supportLists]-->· \r\n<!--[endif]-->Ongeza maarifa/ujuzi
<!--[if !supportLists]-->· \r\n<!--[endif]-->Jiandae nyuma ya pazia
<!--[if !supportLists]-->· \r\n<!--[endif]-->Maombi
\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n
Usiache\r\nkutumia kipaji chako. Usiache kuchochea kipaji chako. Jambo la muhimu zaidi,\r\nkipaji chako kisikutoe kwa Mungu. Unaposoma kitabu hiki utagundua kwamba,\r\nmwandishi anaweka mkazo, kuchochea kipaji chako huku uhusiano wako na Mungu\r\nukiimarika zaidi.