Changamoto Ya Elimu Ya Ujasiriamali
Price:
70,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 11, 2024
Product Views:
235
Sample
Changamoto ya Elimu ya Ujasiriamali
Changamoto Ya Elimu Ya Ujasiriamali
Ujasiriamali ni dhana mpya inayotumika kwa mapana katika taasisi binafsi na za umma nchini Tanzania. Dhana hii imezidi kupata umuhimu kijamii, kiuchumi na kisiasa katika miaka ya hivi karibuni nchini. Baadhi ya taasisi za umma na vyama vya kiraia vinaunga mkono maendeleo ya ujasiriamali. Hata hivyo, elimu ya ujasiriamali haijaendelezwa vya kutosha kupitia mifumo na utaratibu wa elimu na utamaduni zilizoko nchini Tanzania.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza