Bora Kifo
Bora Kifo
Katika hii dunia binaadamu hupitia mitihani mingi sana, katika mitihani hiyo ni jambo la kupita tu. Hayo ndio majaribu ya maisha, hapo unaangaliwa utapasi au utafeli. Muhimu ni kuwa jasiri na kuchukulia majaribu hayo kama ni sehemu ya masomo yako katika hii dunia. Kuwa mvumilivu, jasiri na uzidi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema nyingi alizokupa. Mitihani ni sehemu tu ya maisha yetu, kinachotakiwa ni kuzidi kumuomba Mwenyezi Mungu atupe Subira. Kumbuka neema alizokupa Mwenyezi Mungu ya maisha, kisha ya akili pamoja na macho yako yenye uwezo wa kuona. Neema hazihesabiki alizotupatia Mwenyezi Mungu, hata ukijaribu vipi maana ni nyingi mno. Bora kifo hii ni simulizi inayoelezea mil ana utamaduni wa baadhi ya kabila. Wao tohara kwa wanawake ni kitu kilichokuwepo, wala hawataki kukiacha.
Endelea............
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza