Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Binti Wa Kiafrika - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

BINTI WA KIAFRIKA

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
15,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 07, 2023
Product Views:
938
In category:
Sample

Kitabu hiki ni zawadi kwa watu wote hasa wanawake,vijana, mabinti wa kisasa na vizazi vijavyo baada yangu.Kwa binti yangu kipenzi na kwa ajili ya wanawake wote wasomi, wenye elimu ya kati ama wasio nayo kabisa. Wenye uelewa tofauti juu ya neno uzuri,thamani, haki sawa na harakati za kuwa mwanamke mbele ya dunia. Zawadi hii iwabadilishe mitazamo na namna ya kuyaishi maisha yenu.

Zawadirnhii iwabadilishe wasichana wote wanaoamini katika ibada takafujo ya kusujudiarnurembo na ulimbwende wa umbo na sura. Ijenge mtazamo mpya wa kufanya kazi kwarnbidii na kujiheshimu bila kusahau kugusa ustawi wa watu wengine karibu yao.rnImfanye binti awekeze katika ndoto binafsi bila kujali changamoto na ajali zarnndoto zinazomkumba.

 Tunu hii iwatie nguvu wanawake na mabinti woternambao wanapitia nyakati ngumu, wakiamini kuwa mwanamke ni kuyakumbatia maumivu,rnkulia usiku kucha, kufanyakazi kama punda wakati mshahara anachukua baba Fulanirnkwenda kujipongeza kilabuni au kuwa binti ni kufanyiwa maamuzi na baba eti nanirnatakuoa, lini uolewe, na huna haki ya kusema wala kuhoji, ukihoji utapigwa narnkuambiwa shiiiii… kelele huna adabu!.

rnrnrnrn

Kitaburnhiki kikutie nguvu wewe binti ambaye katika umri wako wa miaka 14 tu tayari nirnmjamzito na huoni tena ile picha yako ukiwa kwenye gauni la mahafari ya chuornkikuu, usijali maisha yako ni angavu sana. katika umri kama wako kuna mturnalipitia hali kama yako lakini leo ni Madam Rita mpya mwenye nguvu narnushawishi. Anasaidia wenye vipaji kupitia shindano la Bongo Star Search. Kwarnumri huo huo wako Oprah Winfrey alipata mimba, akapoteza mtoto muda mfupi turnbaada ya maumivu ya leba lakini leorntunamzungumzia mwanamke tajiri anayemiliki utajiri wenye mabilioni ya fedha.rnSio rahisi, sikufariji ujue ni rahisi kuwa Oprah au Ritha, SIO RAHISI ILArnINAWEZEKANA hivyo  Usikate tamaa, usiliuernkusudi lako kwa sababu hiyo, safari nirnndefu inayohitaji uthubutu. Endelea kuishi!. Katika yote yatakayokupata jariburnkuyabeba matatizo yako kama kiinua mgongo chako, yatafaa japo kwa funzo.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold