BINTI MWENYE MAONO KARNE YA 21
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 23, 2023
Product Views:
771
Sample
Hiki nikitabu kilicho jawa na kila aina ya maisha ni hadithi inayo angazia maisha ya binti wa karne ya 21 pamoja na changamoto nyingi kulingana na utandawazi lakini bado anaendelea kujitunza. Ni hadithi ya binti Gloria anayeingia chuo kikuu anakukutana na vishawishi vingi lakini anastahimili vishawishi nakutunza Bikira yake mpaka ilipofikia wakati wa ndoa yake anapitia vitu vingi venye kumvuta kuingia katika vishawishi fuatilia kitabu hiki.
Hadithi hii inaangazia maisha ambayo katika karne ya 21 ni adimu kukutana na Binti wa namna hiyo lakini kitabu hiki kinatuonyesha pamoja na changamoto nyingi ambazo Binti anakutana nazo lakini anapokuwa na msimamo usiyokuwa wakuyumba yumba anaweza kutunza ubinti wake mpaka atakapo olewa nakuwa na ndoa yake fuatilia hadithi hii kuna mengi ya kujifunza naukayaishi.