BIMA YA PENZI
BIMA YA PENZI - RIWAYA BORA YA KARNE
Kuhusu kitabu
Ukosefu wa mawasiliano ya kina baina ya Gaudensi, bilionea kijana kutoka Arusha na Bi. Lusia, mtaalamu wa afya ya akili binti kutoka familia ya uwezo wa kati, unapelekea kuvunjika kwa uhusiano wao na Lucia kutoweka akiwa mjamzito, huku akibeba hazina ya mali zote za mume na wakweze.
Ukata na upweke haumuachi mume salama, kwani anapitia yasiyosimulika, mwishowe wawili hawa wanakutana kimuijiza kwani hakuna aliyegemea.
***
Swali linalotawala riwaya hii ni Je, Gaudensi na Lusia watapata njia ya kurekebisha uhusiano wao uliovunjika na kuziunganisha familia zao ambazo tayari zilijaa chuki?
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza