
BIASHARA UNAZOWEZA KUZIFANYA MWAKA HUU UKATOKA KIMAISHA
Jione mwenye bahati kubwa mwaka huu kupata kitabu hiki kitakachofungua ukrasa mpya wa mafanikio yako."Biashara unazoweza kuzifanya mwaka huu ukatoka kimaisha".Biashara ambazo mtu yeyote haijalishi kiwango cha elimu, mtaji, mazingira anaweza kuzifanya na akatoka kimaisha.
JE,huwa unatamani kufanya biashara ama kuongeza biashara nyingine lakini unashindwa ufanye biashara ya aina gani?Je mtaji wa kufungua biashara bado ni tatizo kwako? Ikiwa jibu lako ni ndiyo bila shaka kitabu hiki kimeandaliwa kwa ajili yako ili kukusaidia BIASHARA UNAZOWEZA KUFANYA MWAKA HUU UKATOKA KIMAISHA.
UKISOMA KITABU HIKI HADI MWISHO UTAJIFUNZA YAFUATAYO:
- Aina kuu nne za biashara kwa undani zaidi na mifano yako ili uilewe vizuri
- Faida zaidi ya 10 unazoweza kupata unapoamua kufanya kazi za kujipatia kipato ambazo wengi hawazijui
- Sababu 15 kwanini watu wengi hawana kazi za kuwaingizia kipato na suluhisho lake
- Njia zadi ya 10 anazoweza kuzitumia mtu kupata kazi ama kufungua biashara
- Biashara zenye mtaji mdogo lakini zina mzunguko mkubwa unazoweza kuzifanya mwaka huu ukatoka kimaisha
"Katika kila kazi mna faida; Bali maneno ya midomo huleta hasara tu".Mith 14:23
Hivyo ingia kwenye duka la aina mbalimbali za biashara zilizoorodheshwa ndani ya kitabu hiki unazoweza kuzifanya, CHAGUA BIASHARA UTAKAYOWEZA KUIFANYA kisha THUBUTU.
MWAKA HUU NI ZAMU YAKO KUTOKA KIMAISHA!
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza