BARUA YA MKUFUNZI
MBINU SABA ZA KUFANIKIWA KIUCHUMI UKIWA CHUONI BILA KUATHIRI RATIBA ZA MASOMO
Kitabu hiki kimeandikwa baada ya tafiti rasmi za miaka miwili nilipobaini kuwa wanafunzi wa chuo wanaofanya biashara chuoni ndio wenye matokeo makubwa ukilinganisha na wale wasiofanya mambo mengine mbali na masomo.
Ndio nilipoamua kuandika Kitabu hiki kilicho katika mfumo wa masimulizi yenye lengo la kumpa msomaji namna anavyoweza kufanikiwa kiuchumi akiwa anaendelea na masomo yake kama kawaida bila kushusha GPA wala kusup...
pia kitabu kimeweka wazi mbinu za kupata wazo bora la biashara litakalohusiana na mazingira ulionayo na pia kukupa namna ambavyo unaweza kubadilisha mazingira ulionayo kukupa pesa.
Kitabu kimeeleza namna unavyoweza kupangilia mambo yako kwa mfumo wa utoaji vipaumbele (prioritization) hali itakayoinua ufaulu wako na uchumi wako kiujumla.
Kitabu hakikuacha kutoka mpaka ya mfumo wa Maisha anaotakiwa kuuishi mtu mwenye lengo la kutaka kufanikiwa kiuchumi awapo chuoni ili kumuongezea nidhamu iliyo msingi mkuu wa mafanikio.
Baada ya kusoma kitabu hiki utatamani ungeyajua haya mapema lakini hata hivyo anza Sasa utafurahia baadae.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza