BARUA KWA MWANAMKE AMBAYE HAJAOLEWA
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 14, 2023
Product Views:
799
Sample
Wewe kama Mwanamke ambaye haujaingia kwenye ndoa, Ninakuletea neema hii ya kuyajua mambo haya mazito ambayo unatakiwa kuyaepuka kabla hujaingia kwenye mahusiano ya ndoa. Utajifunza kwanini wanaume wengi huwaacha wake zao pale wanapozeeka au kupoteza ule uzuri wa zamani, lakini utajua kwanini wanaume wengi huamua kuwaacha wake zao hata kama mwanzo walionyesha kuwapenda
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza