BADILISHA TABIA, BADILISHA DUNIA
Price:
3,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 05, 2022
Product Views:
1,547
Sample
TABIA NJEMA NDIO NGUZO MUHIMU KATIKA KUIBADILISHA DUNIA
Unaweza kubadilisha Dunia. Anza kubadilisha Tabia yako kwanza. Tabia njema ni ya thamani sana hapa duniani. Unaweza kubadili Tabia mbaya na kuwa Tabia nzuri kwa Neema ya Mungu.
Maisha yako yatabaki kuwa manukato na kumbu kumbu ya kudumu. Kwa sababu uliwekeza katika tabia njema.
Hivyo, unaweza kubadilisha Sifa yako, kutoka sifa mbaya na kuwa nzuri ya kupigiwa mfano.