BADILIKA, JIAMINI ILI UFANIKIWE
MAMBO KUMI AMBAYO NI MUHIMU KUYAJUA ILI KUPATA MAFANIKIO KATIKA KAZI YA AJIRA NA UJASIRIAMALI
BADILIKA JIAMINI ILI UFANIKIWE.
MAFANIKIO YAKO MAPYA YANATEGEMEA UBORA WAKO KWA UJUMLA. KITABU HIKI KITAKUELEZA UMUHIMU WA KUKUBALI MABADILIKO.
KWA KWELI HAUWEZI KUFANYA KITU KIPYA KAMA WEWE NI WA ZAMANI. KAMA TABIA ZAKO NI ZILE ZILE ZILIZOSABABISHA UKAWA MASKINI BADO NDIYO ZINATAWALA MAISHA YAKO BASI SAHAU KUBADILISHA MAISHA, KWAHIYO KITABU HIKI KITAKUFUNULIA MAMBO YA MSINGI ILI UFANYE MABADILIKO CHANYA.
NAAMINI KITABU HIKI NI NYENZO BORA KABISA KWA MAENDELEO YAKO KITAKUTENGENEZEA MSINGI IMARA WA KUANZIA.
KUBADILIKA NDIYO NJIA PEKEE YA KUKUBADILISHA MAISHA KUWA YA KIWANGO CHA JUU UNACHOKITAMANI.