AMSHA UTAJIRI ULIO LALA NDANI YAKO
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 25, 2024
Product Views:
536
Sample
Safari ya kuitambua thamani yako halisi
Je unajua ndani yako mna utajiri? Utajiri ambao kama ukiamua kuutumia utaweza kubadilisha hali yako ya kimaisha na kiuchumi? Inawezekana umeshangaa kusikia hilo lakini ndivyo ilivyo. Utajiri uliopo ndani yako haukuja jana wala juzi, ulikuwepo tangu ulipozaliwa kwa hiyo unatembea nao kila uendapo bila wewe kuutumia. Kwa kupitia kitabu hiki utafahamu utajiri ulio lala ndani yako ni upi na namna unavyoweza kuuweka kazini ili uvuke kwenda viwango vya juu.