AMRI KUU ZA KUFANYA BIASHARA
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 29, 2021
Product Views:
2,765
Sample
Watu wengi wanahangaika kuzifanya biasahara zao zisonge mbele lakini wanafeli. Afrika pekee zaidi ya asilimia 80 ya biashara zinazoanzishwa hufa baada ya miaka mitatu. Swali, je ni kwanini biashara nyingi hufa? Jibu ni kwa sababu hawafuati amri za kufanya biashara. Kitabu hiki ni fursa pekee ya kuanzisha biashara yenye mafanikio.
Kitabu hiki kinaeleza kwa kina ni Amri gani hasa kila mfanyabiashara na mjasiriamali anapaswa kuzingatia anapotaka kuanzisha biashara yenye mafanikio. Ni muhimu kuzingatia miiko na taratibu za biashara ili ufanikiwe katika biashara yako. Karibu sana ujipatie elimu kamili juu ya Amri za kufanya biashara.