Amri 10 Za Ufugaji Wa Kuku Wa Kienyeji
Aina: Ebook Sura: 10 Kurasa: 40 Ukubwa: 1.2Mb
Masharti yatakayokufanya upate faida kubwa ndani ya muda mfupi.
Kitabu hiki ni mwongozo rahisi wa kujipima katika mradi wako wa ufugaji kama unazingatia kanuni za msingi za ufuaji bora au umeziacha.
Kwa mtu anayeanza ufugaji, kanuni hizi zinatumika kama vigezo vya kuzingatia kwenye ufugaji wake ili uwekezaji unaofanya uwe na tija pamoja na faida ndani ya muda mfupi.
Kwahiyo, kitabu hiki ni maalumu kwa kila mtu anayefuga, ambaye ameanza kufuga na anaye tarajia kuanza ufugaji siku za usoni.
Kitabu nimekiandika kama ufupisho wa maswali mengi ninayoulizwa mara kwa mara na wafugaji wanaotafuta mbinu za kutumia ili wapate faida kubwa.
Ukibofya eneo lililoandikwa BUY NOW utakuwa umefanya maamuzi yanayomaanisha faida zaidi kwenye ufugaji wako.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza