AKILI YA DIAMOND
Katika pitapita zangu hapa mtaani, juzi niliwasikia watu wanasema kwamba kama wangekuwa na akili kama ile ya Diamond aliyonayo kwenye kuimba, basi wangeweza kufanya mambo makubwa. rnrnMoyoni mwangu nikawa nasema, yaani, laiti mungejua kuwa mna uwezo kama huo na zaidi pengine msingesema hivyo, badala yake mngeenda kuutumia huo uwezo. Hivyo, leo hii nimeona nikushirikishe kiufupi kuhusu hii Akili Ya Diamond. Sasa labda kabla hujaanza kusoma kurasa za ndani kabisa, nikuulize swali. Je, ungependa kuwa na Akili Ya Diamond au hutaki kabisa? rnrnNaomba uandike jibu lako pembeni. Mwisho mwa kitabu hiki nimerudia kuuliza swali hilihili. Nitapenda ulinganishe majibu yako yote mawili. Hili ambalo unatoa hapa na hilo ambalo utatoa mwishoni mwa kitabu hiki.rnrnGodius RweyongezarnMorogoro-Tanzania
katika kitabu hiki hapa unaenda kukutan na vitu 50 ambavyo ulikuwa hujui kuhusu Diamond Platnumz. vitu hivi vya kipekee tunaweza kuviweka kwenye vipengele vikubwa vitatu.KIPAJI. UBUNIFU NA MAFANIKIO.
je, vitu hivi 50 ni vipi? basi ebu ngoja tusafiri kwa pamoja katika kurasa za kitabu hiki hapa
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza