Aina Za Watu Na Ujijue Wewe Ni Nani
Hiki Ndicho Unachotakiwa Kukijua Kabla Ya Miaka 18. Moja Ya Sababu Kubwa Za Kupishana Kauli, Kutukanana, Kupigana Na Wakati Mwingine Kuuana Kabisa Kati Ya Mtu Na Mpenzi Wake, Mtu Na Rafiki Yake,
Hiki Ndicho Unachotakiwa Kukijua Kabla Ya Miaka 18. Moja Ya Sababu Kubwa Za Kupishana Kauli, Kutukanana, Kupigana Na Wakati Mwingine Kuuana Kabisa Kati Ya Mtu Na Mpenzi Wake, Mtu Na Rafiki Yake, Mtu Na Jirani Yake, Mtu Na Bosi Au Mtu Na Mfanyakazi Wake Ni Kutokujua Yeye Ni Nani Na Kwa Nini Yuko Hivyo! Duniani Ni Sehemu Salama Sana Yenye Furaha Kama Utajitambua Wewe Ni Nani? Masomo Haya Yanakusaidia Kwa Urahisi Kabisa Kujijua Kuwa Wewe Ni Nani Na Kuweza Kujiongoza Wewe Mwenyewe Kabla Ya Kumuongoza Mwingine. Ninaamini Kabisa Utakapo Maliza Masomo Haya Utatamani Kuniona Kunipa Hata Mkono Wa Asante Kwa Kukunasua Kwenye Minyiroro Uliyokuwa Umekwama Ya Kimapenzi, Ndoa, Urafiki, Uhusiano Bosi Eneo La Kazi Na Hata Jamii Inayokuzunguka! Sasa Kazi Kwako Ushindwe Mwenyewe!
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza