AFYA YA UZAZI WA MWANAMKE
Mwanamke ni mtu ambaye hua anakabiliwa na changamoto nyingi sana katika maisha yake. Na mara nyingi hukabiliwa na matatizo mengi sana yanayohusiana na afya yake ya uzazi.rnKatika EBOOK hii, tutaangalia mambo au changamoto kadhaa ambazo hua anakumbana nazo mwanamke katika afya yake ya uzazi mara kwa mara.rnPia tumeandaa mwongozo wa chakula ambao utamsaidia mwanamke aweze kuondokana na changamoto hizi za uzazi aweze kua na afya bora.
Mwanamke ni mtu ambaye hua anakabiliwa na changamoto nyingi sana katika maisha yake. Na mara nyingi hukabiliwa na matatizo mengi sana yanayohusiana na afya yake ya uzazi.
Katika EBOOK hii, tutaangalia mambo au changamoto kadhaa ambazo hua anakumbana nazo mwanamke katika afya yake ya uzazi mara kwa mara.
Pia tumeandaa mwongozo wa chakula ambao utamsaidia mwanamke aweze kuondokana na changamoto hizi za uzazi aweze kua na afya bora.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza