SIGNS AND TOKENS
SIGNS AND TOKENS. zifahamu Ishara naVitendo vya Imani vyenye kuleta Matokeo.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
10000 Tsh.
KUUWEZA WAKATI UJAO
KUUWEZA WAKATI UJAO. Jipatie akili za kujua nini cha kufanya kwa majira ya sasa na yanayokuja
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
10000 Tsh.
SILAHA ZA VITA VYETU
SILAHA ZA VITA VYETU. Ingawa tunaenda kwa Jinsi ya mwili lakini hatufanyi vita vyetu kwa jinsi ya Mwili.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
10000 Tsh.
JINSI YA KUWEKEZA UTT AMIS
Unataka kuwekeza UTT AMIS basi kitabu hiki kitakupa mwongozo asilimia 100% kuhusu UTT AMIS na uanze kuwekeza fedha zako baada ya kupata msingi mzuri wa uwekezaji katika mifuko ya pamoja ya UTT AMIS. Pata nakala yako sasa na uanze kupata madini ya nguvu.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
6999 Tsh.
THE POWER OF PROPHETIC VIRTUE WOMAN
This spiritually provocative and yet intellectually stimulating book unpacks the pivotal role that women in various sectors of society play in the pursuit of the agenda of God to encompass man.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
10000 Tsh.
SAFARI YA KWANZA YA LISHE: MWONGOZO WA KINA KWA WATOTO MIAKA 0-5
Huu ni mwongozo maalum kwa ajili ya watoto kuanzia miaka 0 hadi miaka 5. lengo la mwongozo huu ni kumuwezesha mtoto kuzingatia lishe ambayo haitamfanya awe mnene, itamfanya awe na nguvu na afya tele pamoja na kua na ukuaji mzuri huku asiposumbuliwa na matatizo ya kuugua mara kwa mara.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
12000 Tsh.
5 ways To Online Wealth
This Is An eBook About How to Be Wealthy but If You will Follow Everything in the Book Well
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
5000 Tsh.
HATIMA ILIYOFUTIKA
Hapa ulimwenguni kila mwanadamu ana ndoto kuu moja daima, nayo ni kuishi maisha yenye furaha na amani, na kila mtu huwa ana mambo yake mahususi yanayomletea furaha na amani maishani, hapo ndipo kila mmoja hujipambanua na kuweka malengo bayana juu ya kujipatia furaha na amani. Matokeo huwa ni mawili, aidha kupata yale anayoyatamania au kukosa kabisa, na hiyo ndio huitwa HATIMA. sasa inakuaje pale ambapo hatima ya mtu inafutika, je mtu huweza kuipambania tena HATIMA ILIYOFUTIKA??.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
3000 Tsh.
MWANAUME RIJALI
Kitabu hiki ni maalum kwa mwanaume yoyote yule ambae anatamani kulinda urijali wake, kurudisha urijali wake pamoja na kuendeleza urijali wake.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
25000 Tsh.
JIFUNZE UANDISHI WA VITABU
Mbinu na muongozo wa kukusaidia kuwa mwandishi bora wa vitabu.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
9999 Tsh.
KANUNI 50 ZA MAISHA YA MAFANIKIO
Huwaongoza watu kutambua maisha yao na jinsi wanavyoweza kufurahia maisha yao ya binafsi, familia, jamii na ya mahusiano, kujua ambavyo wewe pamoja na wanaokuzunguka kufurahia kwa pamoja na kuepukana na misongo ya mawazo.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
15000 Tsh.
Amri 10 za Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji
Aina: Ebook Sura: 10 Kurasa: 40 Ukubwa: 1.2Mb
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
3000 Tsh.
Ongeza Kipato Chako na Kuku wa Kienyeji
Ongeza Kipato Chako na Kuku wa Kienyeji ni kitabu kitakachokuvusha changamoto za ufugaji wa kuku na kukupatia njia rahisi za kuanza kuvuna pesa nyingi kupitia kuku wa kienyeji.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
12000 Tsh.
Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji Kama Mradi
Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji Kama Mradi ni muhimu kwa wafugaji wa wadogo wa kuku wa kienyeji na wanaopanga kuingia kwenye ufugaji.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
6900 Tsh.
UFUASI AGIZO KUU LA YESU KRISTO
Kanisa lipo kwaajili ya jambo kuu mojatu, nalo ni kuwavuta watu kwa Kristo, na kuwafanya wafanane naye, kama halifanyi hivyo basi linapoteza muda.
Ufuasi ndio agizo na kusudi kuu la Kanisa, bila wafuasi hakuna kanisa. Leo katika makanisa yetu tumejaza waamini wengi na sio wafuasi. Changamoto kubwa ya Kanisa ni kuwafanya watu wanaokuja kumfuata Kristo kufikia viwango vya kuwa wafuasi wa Yesu.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
10000 Tsh.
THINGS I DIDN'T LEARN AT SCHOOL
THINGS I DIDN'T LEARN AT SCHOOL AT SCHOOL is a book that will open your eyes. If you think school was meant to teach you everything, this book will tell you the true story. There are things that are not taught at school but can help you succeed.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
5000 Tsh.
WHO STOLE MY SUCCESS
WHO STOLE MY SUCCESS is an amazing book that will help you understand the things that limit you from reaching your full potential and hence failing to achieve your goals or success.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
5000 Tsh.
BATIKI YA KUSHONA KWA UZI_PART 1
Katika video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza BATIKI YA KUSHONA KWA UZI
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
2000 Tsh.
Njia Ya Mafanikio Kwa Kijana Mkristo
Mafanikio yana kanuni zake na mojawapo ni maadili sahihi. Uamuzi wa kuchagua maadili ya kukufanikisha uko mkononi mwako. Unataka kufanikiwa ukiwa mwenye furaha na amani? Chagua maadili ya NENO LA MUNGU
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
5000 Tsh.
Kabla ya Kuomba: Maombi ni zaidi ya Mbwembwe
Ufahamu sahihi juu ya moyo wa Mungu Baba yetu unaomba.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
2000 Tsh.
MILANGO 7 KUFIKIA UKUU WAKO
MILANGO 7 KUFIKIA UKUU WAKO inaelezea mambo ambayo yatakubadilisha kuwa mtu wa tofauti.\r\n\r\nWaliofanikiwa wanafanya haya; mafanikio huacha alama. Huu ndiyo muda wako kusoma kitabu hiki.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
5000 Tsh.
MAMBO 7 USIYOYAJUA KUHUSU DHAMBI
Si kwa bahati mbaya kitabu hiki kimekufikia. DONDOO KUHUSU DHAMBI ni kitabu kwa kila mwamini kukisoma. Baada ya kusoma kitabu hiki ni matumaini yangu kupitia dondoo hizi, utapata majibu ya swali hili “Kwanini yatupasa kutunza utakatifu?” Hivyo utaongeza bidii yako kumpendeza Mungu katika mwenendo wako wote.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
5000 Tsh.
CHOCHEA KIPAJI CHAKO
Kitabu hiki ni nyenzo muhimu kwa mtu mwenye kipaji. Zipo kanuni na mbinu muhimu za kumsaidia kila mwenye kipaji kufanya vizuri sokoni. Pesa hufuata harufu ya ubora. Ukifanya kwa ubora kwenye kipaji chako lazima watu wanaofaidi kipaji chako wakulipe vizuri. Tatizo ni kwamba ubora hauji kimiujiza, bali ni matokeo ya kutumia kanuni sahihi na mbinu zilizo bora. Basi, kitabu hiki ni lazima kwako kukisoma ili ufaidike na maarifa yaliyo ndani yake.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
5000 Tsh.
Siri Za Kuwa Hai Leo
“Kuwa Hai ni Zaidi ya kuwepo duniani, watu wengi sana wapo duniani lakini hawapo Hai, na wanaishi maisha ambayo si yao, Jacob Mushi kupitia Siri 7 za Kuwa Hai Leo ametengua kitendawili hicho, kwa kufichua mambo ya msingi ambayo ya kuishi maisha ya utoshelevu.”
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
10000 Tsh.
Kipindi Cha Mchakato
Upo usemi unasema usione vinaelea jua vimeumbwa.... Kipindi cha mchakato ndicho kipindi chako cha mafunzo, ndipo mambo hupikwa kwa ajili ya kusudi ulilobeba hapa duniani. Kipindi cha mchakato ni cha mtu binafsi.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
10000 Tsh.
Yusufu Nina Ndoto
Je, upo tayari kuishikilia ndoto yako hata kama hakuna anayeona uwezo ulionao?
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
6000 Tsh.
200 Awakening Tips
Haijarishi umeanguka mara ngapi kubwa ni funzo unalopata katika kila anguko lako, kuna maana kubwa na nyingi za kimaisha zimewekwa katika kitabu hiki.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
12000 Tsh.
MWONGOZO KATIKA MAFANIKIO
Kila mmoja ana tafsiri tofauti kuhusu mafanikio na wengine wameenda mbali kwa kutafsiri mafanikio kwa namna wao wanavyoona wengine wanasema,lakini mafanikio ni nini? je ni kuwa na hela nyingi? Ni kuwa na familia bora ambayo ina mchango katika maisha yako? Mafanikio ni nini haswa? Twende pamoja katika kitabu cha MWONGOZO KATIKA MAFANIKIO kupata ukweli huu wa maana halisi ya Mafanikio na namna ya kuyapata.
★★★★★ (4.5)
★★★★★ (4.5)
10000 Tsh.
EBOOKS
- #1 KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI
- #2 Siri 3 Za Kumfikisha Mwanamke Wako Kileleni Kirahisi
- #3 UKOMBOZI WA FIKRA
- #4 MILIKI KIWANDA MILIKI UCHUMI
- #5 NCHI YA USAMBARA
- #6 JIFUNZE KINANDA 1
- #7 SABUNI ZA MCHE NA MAGADI
- #8 SIRI 7 ZA MAFANIKIO YA KIROHO NA KIUCHUMI
- #9 MAFUTA YA MGANDO
- #10 SABUNI YA UNGA
- #11 THINK & GROW RICH-SWAHILI- EDITION
- #12 MHANGA
- #13 NIFANYEJE ILI NIFANIKIWE MAISHANI
- #14 MAMA AMINAAA
- #15 JINSI YA KUTENGENEZA FACEBOOK ADS
- #16 BATIKI AINA YA SAMBUSA
- #17 AKILI YA DIAMOND
- #18 Why I Hate Being An Employee
- #19 WHY DO I LIE
INSIDER'S POPULAR POST
AUDIOBOOKS
CONTRIBUTOR'S POPULAR POST
ONLINE TRAININGS & PROGRAMS
FEATURED INSIDERS & CONTRIBUTORS
Dunia Jumanne
InsiderMohd Mussa
InsiderAlvina Minja
InsiderCosmas Sombela
InsiderThat’s Weird…But I Like It!
My girlfriend and I neither of us have jobs! Therefore, we have been entrepreneurs for quite a while. I do remember that, one day we spent a real long time
Read moreWhy I Dont Want A Job
There are a lots of common reasons why most people start their own businesses but if you look at them very closely you will discover that they all stems in
Read moreWhy I’m Not Here To Judge You Or Tell You How To Live Your Life
Being a good entrepreneur does not necessarily mean you can start talking about yourself all the time and everyone will listen – but is quite the opposite. You need to
Read more