Kwa Nini Unalazimika Kusamehe?
Price:
3,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 26, 2020
Product Views:
2,459
Sample
Jenga uhusiano wako na Mungu pamoja na jirani zako kwa kujizoeza kusamehe
Moja ya changamoto kubwa sana katika maisha ya watu ni kushindwa kusamehe. Watu wanaumia kila siku na wanaendelea kubeba uchungu ndani yao kwa sababu ya kukosa kusamehe.
Kitabu hiki mwandishi anakushirikisha juu ya Kanuni na Sababu za Kusamehe.