Kama Huna Sina Hizo 5 Sahau Kuwa Mzungumzaji Mahiri
Hivi Bado Unafumbua mdomo kuzungumza mbele ya kadamnasi wakati huna Sifa hizi Tano? Utaupata wapi umahiri na ubora bila ya sifa hizi? Nimeliona hilo likikuumiza wewe na nikakuletea suluhisho kwa gharama ndogo lakini manufaa makubwa kwenye kitabu hiki